Michezo

AC Milan wathibitisha Zlatan ana Corona

on

Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic amethibitika kupata maambukizi ya virusi vya Corona na sasa atawekwa karantini wakati huu akilazimika kufuata taratibu za matibabu ya virusi hivyo.

Zlatan ndio mchezaji pekee katika list ya AC Milan aliyekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona, Staff wa timu ya AC Milan ikiwemo benchi la ufundi lote wako salama.

Taarifa kutoka AC Milan inaeleza “Zlatan ana maambukizi ya COVID-19 wakati mzunguuko wa pili wa vipimo kuelekea mchezo wa leo Bado”

Soma na hizi

Tupia Comments