Mix

#RIP kwa watu wetu waliofariki leo kwenye ajali ya basi na lori Shinyanga..

on

candles

Imekuwa ishu kubwa kwenye vyombo vya Habari sasa hivi.. mfululizo wa ajali za barabarani kila mtu anapata maswali mengi, nini chanzo cha ajali hizo? Njia ipi itumike ili kumaliza tatizo la ajali??

Wakati hayo yakiendelea naipokea ripoti nyingine toka Shinyanga, inahusu ajali ya basi la Unique ambalo limegongana na lori, kwenye ajali hiyo watu 10 wamefariki.. zimepita siku chache tu toka itokee ajali ya Toyota Hiace ambayo iliua watu 19 Mbeya pamoja na kuporomoka kwa mgodi ambao ulifukia watu 19 Kahama.

#RIP kwa watu wetu.

Kwa taarifa zaidi kaa karibu na millardayo.com, pamoja na countdown ya AMPLIFAYA @CloudsFM ili nikufahamishe zaidi kuhusu ajali hii.

IMG-20150422-WA0031

IMG-20150422-WA0032

IMG-20150422-WA0034

IMG-20150422-WA0035

IMG-20150422-WA0037

Soma na hizi

Tupia Comments