Michezo

Accounts za Chelsea zaonesha kiasi kilichowagharimu kumuacha Conte

on

Club ya Chelsea ya England imeweka wazi kiasi ilichighatimu club hiyo kufuatia maamuzi yao ya kuvunja mkataba kwa aliyekuwa kovha wao Antonio Conte.

Conte ,50, alilipwa kiasi cha pound milioni 26 (zaidi ya Tsh Bilioni 50) kwa kuvunjiwa mkataba wake, hiyo ni baada ya kukaa katika club hiyo kwa misimu miwili.

Chelsea walimuajiri Antonio Conte 2016 na msimu wa pili Conte aliachia ngazi licha ya kushinda Ubingwa wa FA Cup na kwenda zake kuitumikia Inter Milan.

Soma na hizi

Tupia Comments