Top Stories

“Achana na vijana tafuta mwanaume mbaba akuhudumie wewe na watoto wako 8” Mbunge (+video)

on

Mama mmoja anayetambulika kwa jina la Frolida Leonard (36) Mkazi wa Nyakato Musoma mkoani Mara ameshauriwa kuachana na wanaume vijana ambao wamemzalisha watoto nane mfululizo kisha kuachwa na badala yake afunge uzazi pia atafute mwanaume mtu mzima wa kuhudumia familia.

MAPYA YA ‘MGANGA’ WA SIMBA “ANGEFUNGA ANGEKUFA, NINA PAKA 40, BILA UCHAWI HAWASHINDI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments