Top Stories

Rais Ramaphosa atumia Kiswahili “Nimeguswa na ziara ya Morogoro”

on

Leo August 17, 2019 Ikulu ya South Africa imetumia lugha ya Kiswahili kwenye ukurasa wa Twitter wa Rais wa Taifa hilo ambae amekuja Tanzania kwa ziara na kuhudhuria Mkutano wa SADC.

Nanukuu kilichoandikwa “Jana, tulihitimisha Ziara ya kufanikiwa ya Nchi kwa Tanzania. Tulikaribishwa kwa uchangamfu na mwenyeji wa Rais wake Rais Magufuli, tulifanikiwa majadiliano ya pande mbili na tuliguswa sana na ziara yetu ya kwenda Morogoro. Shukrani zetu za dhati kwa Rais na watu wa #Tanzania”

LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO WA 39 WA SADC

Soma na hizi

Tupia Comments