Mix

Aliyoyazungumza Zitto kwenye mkutano mkuu wa kidemokrasia wa ACT

on

Leo October 8 2016 chama cha ACT Wazalendo kimefanya mkutano mkuu wa kidemokrasia katika ukumbi wa makumbusho ya Taifa Posta Jijini Dar es salaam. Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewasilisha hotuba yake ya ufunguzi na kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu hali ya nchi kwa mtazamo wa chama, Zitto ameyasema haya……

ULIKOSA HII YA ZITTO KABWE AKIELEZA KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments