Top Stories

Kutana na wanafunzi wa UDSM waliotengeneza APP ya ‘kumuita mwalimu mpaka ulipo’

on

Kutana na Salvatory Kesi na Adam Duma vijana ambao hawajifikisha hata miaka 30 kutokea chuo kikuu cha Daresalaam ambao wametumia ubunifu kwa kutengeneza Application ya kumuita mwalimu akufundishe mahali popote ulipo kulingana na uhitaji wako wakitu gani unataka upate ufahamu zaidi.

Huduma hiyo ambayo imetengenezwa na vijana hawa wakitanzania ni kwaajili ya watu wote awe mkulima, mfanyabiashara, mpishi na hata mwanafunzi kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali huku wakiwa na lengo la kukuza Kiswahili duniani kwa kuwasaidia mataifa mengine kujifunza lunga hiyo kwa kupata mwalimu kupitia Application hiyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.

STEVE: “Nilisema hataimba tena kwa ile hali, machozi yalinitoka, anapigania roho yake”

Soma na hizi

Tupia Comments