AyoTV

Adam Salamba aeleza sababu ya kushindwa kung’aa Simba SC

on

AyoTV leo ipo nae kwenye exclusive interview mchezaji wa zamani wa Simba SC Adam Salamba ambaye alikuwa mkali sana akiwa Lipuli FC ya Iringa lakini alipojiunga na Simba SC hakuwika sana kama ilivyokuwa kwa Lipuli.
Kwa sasa Adam Salamba yupo Kuwait anacheza soka la kulipwa lakini amekubali kutueleza maisha yake ya soka ya Kuwait, ilikuwaje akajiunga na timu hiyo wakati awali ilitangazwa kuwa kajiunga na Namungo FC ghafla tunaona yupo Kuwait lakini anadhani nini kilimfanya ashindwe kung’aa Simba SC amekubali kujibu yote hayo.

VIDEO: BAADA YA LIGUE 1 NA LIGI KUU KENYA KUFUTWA, NIYONZIMA ANAUSHAURI HUU VPL

Soma na hizi

Tupia Comments