Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana hii ndio video mpya ya Adam Mchomvu itazame hapa

on

.

.

Muimbaji na Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu aka Baba Jonii time hii amekuletea video mpya inayoitwa Tiririka imetayarishwa na director Hanscana.

Itazame hapa 

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments