Habari za Mastaa

Baada ya Salama na Solo Thang, Adam Juma naye kayaandika haya kuhusu video ya Ali Kiba Chekecha

on

.

.

Muongozaji wa video kutokea Tanzania, Adam Juma ameamua kuyatoa ya moyoni kuhusu video mpya ya Ali Kiba ‘Chekecha’ baada ya mashabiki kuizungumzia vibaya mitandaoni na kuwataka wajifunze kutoa mawazo mazuri.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram July 1 aliandika…’Tanzanias are too quick to judge things, kibaya zaidi wachache wenye upeo wa kuelewa kitu mnakurupuka tu!! Hamjui tafauti ya kibaya wala kizuri, kibaya mtakiita kizuri na kizuri ni kibaya kisa mshazoeshwa kula pumba!!! Tunavunja moyo sana, haya sawa video inamapungufu lakini sio kusema Mbovu hovyo haifai’

.

.

Katika sanaa kuna vitu vingi watu wanapitia mpk kufika sehemu flani msilazimishe mtu aruke hatua tujifunze kutoa shukurani, kukosoa kwa kurekebisha na kutoa muongozo sahahi, kupongeza panapo stahili. Mawazo yalio ambatanishwa na chuki binafsi hayajengi. Yes mapungufu yapo but jitihada imeionekana Alikiba Amazing alexa ndio imeshot hii video!!! Dont stop doing what u doing, believe n trust ur faith!!! Huwezi kufurahisha dunia nzima mwana bali ridhisha nafsi yako kwanza!!! Hata dini zilipigwa na binadamu kama hawa waleo!!! Love and peace…’aliandika.

A photo posted by Adam Juma (@adamjumanxl) on


Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments