Top Stories

Mgombea wa Urais kutoka chama cha ADC arejesha fomu katika ofisi za NEC… (Picha)

on

.

.

Ni headline baada ya headlines zoezi la kurejesha fomu za kugombea Urais 2015 linaendelea na hapa ni mgombea wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chief Lutalosa Yembe.

Na hizi ni baadhi ya picha za mgombea huyo akirejesha fomu ya kugombea Urais 2015.

.

.

.

.Mgombea wa Urais kutoka chama cha ADC, chief Lutalosa Yembe alipofika katika ofisi za NEC.

.

.

.

.Mgombea wa Urais wa Chama Cha Alliance Demokratic Change (ADC), Chief Lutalosa Yembe

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Chief Lutalosa Yembe akiondoka baada ya kuwasilisha fomu zake.

.

.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

 

 

Tupia Comments