Habari za Mastaa

Adele anaisambaza nyingine kutoka kwenye Album yake mpya, ‘When we were Young’ – (Video)!

on

Zimebaki siku 3 tu kufikia tarehe 20 November 2015, siku ambayo staa wa muziki wa Pop kutoka Uingereza, Adele atakuwa anaisambaza rasmi Album yake mpya 25… lakini kama wewe ni shabiki mkubwa wa Adele na muziki wake basi ipokee hii popote pale ulipo, staa huyo ameidondosha nyingine mpya kutoka kwenye Album yake saa chache zilizopita!

neeeew2

Wimbo unaitwa, ‘When we were Young’, na video ya wimbo huu imtengenezwa Live kutoka ‘The Church Studios ‘ huku video Director wa ngoma hii mpya akiwa Paul Dugdale.

Hapa chini ninayo official music video ya single mpya ya Adele, kuinasa moja kwa moja bonyeza play hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments