Habari za Mastaa

Bidhaa zenye brand feki ya Jux zakamatwa Kariakoo (+video)

on

Leo Sept 5, 2019 umefanyika msako kwenye baadhi ya maduka ya Kariakoo, Dar es Salaam wa kukamata wauzaji wa bidhaa feki zenye brand ya msanii Juma Jux.

Msako huo umesimamiwa na brand manager wa Jux anayeitwa Erick Richard ambaye ameeleza kuwa wamekuwa wakipata malalamiko mengi sana kuhusu uwepo wa bidhaa hizo feki zenye nembo ya African Boy ambapo imekuwa ikichangia kuharibu soko la biashara yao.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa.

NI KWELI NDOA YA ALIKIBA IMEVUNJIKA…? ALIKIBA KAJIBU HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments