Michezo

Half Time: Senegal vs Tanzania AFCON 2019

on

Leo ni siku nyingine kubwa ambayo Watanzania walikua wanaisubiria kuona mechi ya Timu ya Taifa (Taifa Stars) ikicheza na Senegal kwenye michuano ya AFCON 2019 inayoendelea Nchini Egypt ambapo mpaka half time game ilikua ni Senegal 1-0 Tanzania ambapo goli limefungwa na Balde kwenye dakika ya 28.

Soma na hizi

Tupia Comments