social network

VideoFUPI: Diamond Platnumz katuonesha nyumba yake ya Afrika Kusini

on

Siku kadhaa zimepita toka msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz atangaze kuwa kanunua nyumba ya kuishi Afrika Kusini, huku baadhi ya watu wakidaiwa kutoa comment kuwa nyumba hiyo sio ya staa huyo.

Diamond Platnumz ameamua rasmi kupost katika instagram account yake video fupi fupi zikionesha nyumba yake hiyo ya Afrika Kusini akiwa na meneja wake Babu Tale, Rich Mavoko pamoja na mpenzi wake Zari.

Still on My New Crib in South Africa….

A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on


BAADA YA KUACHIA MDUNDO MPYA HAYA NDIO MAELEZO YA MATONYA, UNAWEZA KUBONYEZA HAPA KUANGALIA>>>

Soma na hizi

Tupia Comments