Taasisi ya Utafiti wa Afya Tanzania imetoa list ya mikoa yenye idadi kubwa ya watoto wenye udumavu nchini ambapo mkoa wa Rukwa,Njombe ,Ruvuma na Kagera imetajwa kama mikoa inayoongoza kuwa na asilimia kubwa ya watoto waliodumaa.
Ayo TV na millardayo.com ilimefanya mazungumzo na Afisa Msaidizi wa Ufatiliaji na Tathmini mkoa wa Kagera, Arnold Mtafungwa ambaye amesema kwa mujibu wa Tanzania Demographic Health Survey 2015/16, mkoa wa Kagera una zaidi ya 41.7% ya watoto waliodumaa na 34% kitaifa.
Bonyeza play kutazama na kujua sababu zinazochangia ongezeko la watoto waliodumaa Tanzania…
VIDEO: Ulipitwa na hii roboti ya ulinzi iliyotengenezwa na Mtanzania? Bonyeza play kutazama.
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo