Mwanamke mmoja mkazi wa Morogoro Matlida Sigareti amemfikisha katika mahakama ya wilaya Morogoro mumewake wa ndoa Profesa Christopher Kasanga ambaye Mhadhiri chuo kikuu cha Kilimo( SUA) na kudai fidia ya milioni Mia moja Kwa tuhuma za kufunga ndoa ya pili Kwa Siri na mke mwingine bila ruhusa yake.
Afikishwa Mahakamani kosa kuoa mke wa pili kwa siri, “Mdai anataka kulipwa Milioni 100”

Leave a comment
Leave a comment