Top Stories

Afisa wa NIDA akamatwa kwa rushwa ya Elfu 50,000 (+video)

on

Mtumishi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Manispaa ya Tabora Angongene Selemani Mtapa anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Shilingi 50,000 kutoka kwa Mwananchi kwa ajili ya kumpatia namba ya kitambulisho.

Taarifa ya kukamatwa kwa Mtuhumiwa huyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tabora Mashauri Elisante.

TAZAMA MAGARI IST TANO, BMW 1 NA ALEXI MOJA ALIZONUNUA JAMBAZI ALIEIBA BILIONI MOJA

Soma na hizi

Tupia Comments