Ad

Videos

Hawa ndio Watanzania waliokimbiza kwenye ngoma kali za Africa kupitia Trace Tv wiki hii..

on

Tayari nimezikusanya ngoma kali 10 za Africa zilizotambulishwa kama Africa Fresh kupitia kituo cha Tv cha Urafansa TRACE TV leo Jan 26 2016, katika chart hii ni Watanzania wawili pekee Diamond Platnumz na Jux ndio wamepata nafasi ya kutambulika.

1.Sound Sultan- Monsura

2.Dela – Mafeelings

3.Iyo-Pack Up and Go 

4.Pallaso – Bubble 

5. emtee – roll up

6.Nasty_C – Juice Back

7.Victoria Kimani – All The Way

8.Jux – One More Night

9.Diamond Platnumz – Utanipenda

10.Kiss Daniel – Good Time 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments