Habari za Mastaa

Maneno ya Diamond Platnumz baada ya ushindi wa Tuzo za Afrima2016

on

Tuzo za All African Music (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.

Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.

Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.

VIDEO: Ipo hapa Performance ya Diamond Platnumz kwenye usiku wa tuzo za MTV MAMA 2016, J’Bourg Afrika Kusini

Soma na hizi

Tupia Comments