Mix

Good News: Watanzania 11 wametajwa kuwania Tuzo za AFRIMMA 2017

on

Good News nyingine hii hapa, usiku wa kuamkia leo July 21, 2017 Waandaaji wa African Muzik Magazine Awards ‘AFRIMMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika.

Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba, Rayvanny, Tuddy Thomas, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Dayna Nyange, Yamoto Band na DJ D-Ommy wameiwakilisha vizuri.

Sherehe za utoaji wa Tuzo hizo zitafanyika House of Blues, Dallas, Texas Marekani Jumapili October 8, 2017.

Nimekuwekea hapa FULL LIST ya nominees wa AFRIMMA 2017

Best Male West Africa

Best Female West Africa

Best Male East Africa

Best Female East Africa

Best Male Central Africa

Best Female Central Africa

Best Male Southern Africa

Best Female Southern Africa

Best Male North Africa

Best Female North Africa

Best African Group

Crossing Boundaries With Music Award

Best Gospel

Best Newcomer

Artist of The Year

Dancehall Act of the Year

Best Video Director

Best Dj Africa

Best African Dj USA

AFRIMMA Video of The Year

Music Producer of The Year

Best African Dancer

Best Rap Act

Best Collaboration

Song of The Year

Best Lusophone

Best Francophone

Best Sound Engineer

VIDEO: Ulipitwa na hii ya mapokezi ya Rayvanny akitoke Marekani baada ya kushinda tuzo ya BET? Itazame full video hapa

Soma na hizi

Tupia Comments