Nimekusogezea picha za ubunifu zilizochorwa na msanii mmoja toka Ghana ambazo wameonekana mastaa wa wanawake wa Marekani… hapa ni zamu ya kuwaona akina Beyonce, Rihanna, Nick Minaj na mwigizaji Megan Good wakiwa kwenye mwonekano wa mavazi ya kiafrika zaidi.
Najua umezoea kuwaoana mastaa hawa kwenye zile nguo zao za kimarekani zaidi na kitu kama high heels miguuni… inakuwaje wakiwa kwenye mavazi ya Kiafrika? Cheki na huu ubunifu mtu wangu !!
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.