Habari za Mastaa

Sikiliza alichokifanya Ben Pol kwenye wimbo wa Afro wa Les Wanyika.

By

on

polHii hutokea kwa wasanii kurudia baadhi ya nyimbo ambazo zimefanyika kipindi cha nyuma au wimbo uliowahi kupendwa zaidi,sasa hapa Ben Pol ameurudia wimbo wa Afro wa Les Wanyika ikiwa kachanganya na vionjo vya kisasa,unaweza kusikiliza na kuudownload kisha ukaandika umeusikiaje ili baadae Ben Pol akipita hapa asome.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments