Habari za Mastaa

AudioMPYA: Mkenya katuletea hii single mpya aliyomshirikisha Alikiba

on

Ni single mpya ya msanii kutoka Kenya, Brown Mauzo ambae leo anatukaribisha kuisikiliza hii single yake mpya Nitulize aliyomshirikisha Alikiba.

Unaweza ukabonyeza HAPA kusikiliza wimbo huo mpya na ukishaisikiliza sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA CHID BENZ ALIVYOMPANDISHA MAMA YAKE JUKWAANI MAISHA CLUB BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments