AyoTV

Duniani wawiliwawili ? hawa walijitokeza wamefanana na Diamond, Joti, Ngwea, Balotelli na Bruno Mars

on

Wakati tukiisubiria After Skul Bash ya December 12 2015 Escape One Mikocheni ambayo huwa inaandaliwa na XXL ya CloudsFM kila mwaka, nimechukua hii video ya moja ya events za After Skul bash ambayo huwa pia kwenye kila event kunatolewa zawadi kwa washkaji waliofanana na mastaa.

Kwenye hii video hapa chini kuna vijana wa Tanzania waliojitokeza mwaka 2013 na kusema wamefanana na Mario Balotelli, Bruno Mars, Diamond Platnumz, Ngwea, Bob Junior, Chidi Benz na wengine bonyeza play tu ujionee alafu uniambie nani na nani wametisha?

Kwenye After Skul Bash ya December 12 2015 mastaa wa muziki wa bongo tutakaowaona kwenye stage ni pamoja na Stamina, Mwana FA, Navy Kenzo, Billnass, WEUSI, Barnaba, Belle 9, Ay na wengine ambapo ticket zinapatikana

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard AyokwenyeTwitter,FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments