Mix

Wizara yaingilia kati, yawapiga Marufuku Wakuu wa Wilaya na Mikoa (+video)

on

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewapiga marufuku Wakuu wa Wilaya na Mikoa kuwakamata na kuwaweka Rumande Madaktari na Wauguzi, taarifa zaidi iko kwenye hii video hapa chini…..

UFAFANUZI: Mkuu wa mkoa wa Singida alivyoongea kuhusu kumuweka Rumande Mganga Mkuu…. bonyeza play hapa chini kumsikiliza mwanzo mwisho

ULIPITWA? Simu ya Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani Kikwete baada ya kuona picha yake aliyopiga na Edward Lowassa, bonyeza hapa chini kufahamu kila kitu

Soma na hizi

Tupia Comments