AyoTV

VIDEO: Waziri wa Afya alivyotangaza kuwasimamisha kazi watumishi wanne kwa upotevu wa Bil. 1.5

on

Feb 15 2016 Waziri mwenye dhamana ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu alitangaza kuwasimamisha kazi Watumishi wanne wa bohari kuu ya dawa (MSD) kwa tuhuma za upotevu wa takribani Bil 1.5 za Kitanzania.

Video yake nimekuwekea hapa chini, unaweza kuitazama.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments