AyoTV

Habari njema kwa wana Dar, huduma ya bure kwa vipimo vyote vya mwili kuanza kutolewa..(+Video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda kwa kushirikiana na Hospitali za Dar wameamua kutoa huduma ya vipimo vya afya bure mara tatu kwa kila mwaka, hapa nakusogezea hii video yenye maelekezo yote kutoka Dc Makonda.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments