AyoTV

ExclusiveVIDEO: Mbunge Agness Marwa akisema na walioisambaza CV yake mitandaoni

on

Alianza kuongelewa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania baada ya video yake kusambaa akichangia bungeni kwenye bunge la bajeti Dodoma na kusema haoni sababu ya bunge kurushwa live lakini apia kauli yake nyingine iliyosambaa ni ile aliyosema anatamani hata kulia.

Baada ya hapo watu wakaitafuta CV yake na kuisambaza mitandaoni ikionyesha alianza Form One akiwa na miaka 30, amekuwa mkurugenzi wa kampuni ya Aggy Classic Entertainment bado akiwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili, yote hayo ameyaona na anayajibu kwenye hii video hapa chini.

ULIIKOSA YA MBUNGE AGNESS MARWA ALIYESEMA ANATAMANI HATA KULIA DODOMA BUNGENI KWA UCHUNGU? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments