AyoTV

VIDEO: Mbunge Agness Marwa kasimama tena Bungeni, haya ndiyo kayaongea..

on

Agness Marwa ni Mbunge wa Viti maalum Tarime ambaye alizichukua headlines kwenye mitandao mbalimbali baada ya kauli yake ya kusema anatamani hata kulia anapoona Wabunge wanataka Bunge kurushwa Live, Hii ilikuwa wakati akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

May 20 2016 Mbunge Agness alisimama tena Bungeni kuchangia hotuba ya Wizara ya Nishati na Madini, huyu hapa kwenye hii video ya dakika zake tano…

ULIIKOSA HII? MBUNGE AGNESS MARWA ALIYETAMANI HATA KULIA DODOMA KISA LIVE YA BUNGE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments