Michezo

Sergio Aguero kapewa shukrani hizi na mtoto aliyemsaidia

on

Mchezaji wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Manchester City ya Uingereza Sergio Aguero August 23 katika mchezo wa Man City dhidi ya Everton katika Uwanja wa Godison Park mchezo uliomalizika kwa Man City kuibuka na ushindi wa goli 2-0 alifanya kitendo cha kiungwana.

Sergio-Aguero

Wakati mchezo ukiendelea wachezaji wa Man City wakiwa katika lango la Everton wakisubiri mpira wa adhabu upigwe Sergio Aguero alikuwa katika mlingoni wa pili kusubiria mpira wa adhabu upigwe ndipo alipoona mtoto mmoja ambaye ni shabiki wa Everton akiwa amezidiwa uwanjani hapo na kuomba wachezaji wenzie wasubiri mpira usipigwe kwanza na asaidie mtoto huyo.August 24 mtoto huyo amemshukuru Sergio Aguero na mashabiki wa Man City.

Hii ni video ya kilichotokea wakati wa mchezo

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments