AyoTV

ExclusiveVIDEO: Mbunge Agness Marwa aliyetamani kulia bungeni ahojiwa na AyoTV

on

Agness Marwa ni mbunge viti maalum CCM ambaye hivi karibuni ametembea sana kwenye Whatsapp za watu na mitandao mingine ya kijamii kupitia video yake akisema anatamani kulia na anasikia uchungu wakati akichangia kwenye hotuba ya wizara ya habari utamaduni, sanaa na michezo katika bunge la 11.

Kwenye hizo dakika alizungumzia pia ishu ya bunge kutorushwa live, baada ya hapo AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview kujua mengine kutoka kwake, tazama kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII DAKIKA 5 ZA MBUNGE ANAYESEMA HATAKI VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments