Habari za Mastaa

NOMAA!! Fid Q achana na live band wakati wa uzinduzi wa album yake (+video)

on

Usiku wa August 13 kila mwaka ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya msanii wa Hip Hop Fid Q ambapo kwa mwaka huu wa 2019 ameiadhimisha kwa style ya kitofauti baada ya kuachia Album yake mpya aliyoipa jina la Kitaaolojia na ni baada ya kukaa kwa zaidi ya miaka 9 toka alipotoa album yake ya mwisho.

Fid Q amefanya uzinduzi wa album yake hiyo kwa kukata keki na kutoa burudani ya bure kwa mashabiki wake waliopata nafasi kualikwa kwenye shughuli hiyo. Sasa millardayo.com na Ayo TV zimefanikiwa kupata sehemu ya burudani hiyo aliyoifanya akiwa na live band.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: FID Q AKIZUNGUMZA NA WANDISHI WA HABARI WAKATI WA UZINDUZI WA ALBUM YAKE

PRODUCER KIMAMBO KAONGEA BAADA YA KUCHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA

Soma na hizi

Tupia Comments