Top Stories

Ahukumiwa kifungo cha miaka 25 au faini ya Milioni 163, ‘Kukutwa na ngozi mbili za Chui’

on

Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu Ezel Kasenegala kifungo cha miaka 25 au faini ya shilingi Million 163. 670 baada ya kumtia hatiani kwa kukutwa na ngozi mbili za chui zilizokuwa na thamani ya shilingi Milioni 16.367.

Kasenegala ambaye ni mkulima na mkazi wa Lulanzi wilaya ya Kilolo mwenye umri wa miaka 35 alikamatwa akiwa anauza ngozi hizo kwa shilingi laki 5 kwa kila moja.

Tupia Comments