Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30, kosa kumbaka mdogo wake, Polisi watoa tamko
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ahukumiwa kifungo cha miaka 30, kosa kumbaka mdogo wake, Polisi watoa tamko
Top Stories

Ahukumiwa kifungo cha miaka 30, kosa kumbaka mdogo wake, Polisi watoa tamko

January 24, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Frank Kigomba (31) Mkulima na Mkazi wa Kijiji cha Kising’a Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na fidia ya Tsh.Laki 5 kwa kosa la kumbaka Mdogo wake wa kuzaliwa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15 baada ya kushauriwa na Mganga wa kienyeji kuwa akifanya hivyo atapata utajiri.

Akiongea na Wanahabari Iringa leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa alikamatwa na kufikishwa Mahakamani January 05,2023 baada ya kufanya kosa hiloJanuary 02,2023 saa 10 alfajiri ambapo alikwenda chumbani kwa Mdogo wake na kumuita kwa nia ya kwenda kuingiza mbao ndani ya kijumba kibovu nyumbani hapo na kisha kumvua nguo na yeye alivua suruali na akamuingilia.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA January 24, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 24, 2023
Next Article Akamatwa baada ya kubaini amemuoa binti ambae alitakiwa aanze kidato cha kwanza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?