AyoTV

AUDIO: Majibu ya Kamanda Sirro kuhusu kauli ya mzee wa upako kuwa waliomchafua watakufa

on

December 11 2016 Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako alisema waandishi wote wanaoandika habari za kumchafua watakufa kabla ya kufika March mwakani. Kauli hiyo aliitoa kujibu yaliyoandikwa kwenye vyombo vya habari kuhusu kumfanyia fujo jirani yake na kulewa.

Baada ya  Mzee wa upako kutamka hayo, leo December 13 2016 waandishi wa habari wamemuuliza kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro kuhusu kauli hiyo, ambapo Kamanda Sirro amesema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwa kuwa Mungu ndiye anamleta mtu duniani na ndiye atakayemuondoa mtu duniani. Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

VIDEO: RC Makonda alivyozindua ujenzi wa barabara kwa kuendesha Greda mwenyewe, Bonyeza play hapa chini kutazama

 

Soma na hizi

Tupia Comments