Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Aiba mifuko 100 ya chips baada ya kukataliwa kuuziwa pombe
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Maajabu > Aiba mifuko 100 ya chips baada ya kukataliwa kuuziwa pombe
Maajabu

Aiba mifuko 100 ya chips baada ya kukataliwa kuuziwa pombe

February 23, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mwanamume kutoka Tennessee Joseph Braswell (36) ameripotiwa  kukamatwa baada ya kula mifuko miwili ya chipsi zilizoibiwa na mtu mwingine kutoka kwenye duka la bidhaa na kutelekezwa nje kidogo ya duka hilo.

Kwa mujibu wa WREG, tukio hilo lilijiri katika duka la Circle K lililopo katika kijiji cha Parkway, Memphis, mapema mwezi huu, wakati mwanamume mmoja alipoingia kwenye mzozo na muuzaji wa duka hilo ambaye alikataa kumuuzia pombe yoyote.

Kwa kulipiza kisasi, mwanamume huyo aliamua kuchukua sanduku lote  lililojaa takriban mifuko mia moja ya chips alipokuwa akitoka dukani na kuzitelekeza nje ya gari lake ndipo bwana braswell alipoziona nakuanza kuzishambulia!

Braswell alikaa gerezani kwa siku kadhaa kabla ya kuachiliwa, lakini mama yake amezungumzajuu ya kukamatwa kwake, akisema kwamba amekuwa akijaribu kumpima kwa daktari wa akili kwa muda, akionyesha kuwa Braswell anaweza kuwa na shida za afya ya akili.

Si mara ya kwanza kwa bwana braswell kufanya matukio kama haya kwani baadhi ya makosa yake ya awali yanasemekana kuwa ni pamoja na kuendesha gari bila leseni, ukiukaji wa muda wa majaribio, na matukio ya kushambuliwa nyumbani.

You Might Also Like

Fahamu maajabu ya ‘Haier Tower AC’, Snash kaeleza kila kitu

Mashine za EFD hazifanyi kazi nchi nzima, Serikali yakiri

MWALIMU ASIYEONA MTWARA: Anafundisha kama kawaida

NI MAAJABU!! Ng’ombe wa Blue aliyeonekana Mto Ruvu

Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand

Geena TZA February 23, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 23, 2023
Next Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 23, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?