Mix

Alichokizungumza Rais Magufuli kwenye uzinduzi wa Ndege Mpya za Air Tanzania

on

Baada ya ndege mpya mbili za Air Tanzania zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuwasili nchini  Leo September 28 2016 umefanyika uzinduzi wa Ndege hizo aina ya Bombadier Q400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Dar es salaam na mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Rais Magufli alipopata nafasi ya kuhutubia alizungumza mambo haya

ULIKOSA ZIARA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments