on air with millardayo

On Air: ‘Wema Sepetu atabaki kama Dada, Angehama CCM 2020 hapo sawa’ Ridhiwani Kikwete

on

Kwenye On Air With Millard Ayo leo April 11 2016 nimekusogezea moja kati ya maswali ambayo ameulizwa Ridhiwani Kikwete ambaye ni   Mbunge wa Chalinze moja wapo  ni hili  kusuhu mrembo Wema Sepetu kukihama Chama CCM nakuhamia Chadema, Pia Ridhiwani amesisistiza kuwa siasa sio vita.

Ulimis hii Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa itazame hii video hapa chini..

Soma na hizi

Tupia Comments