Vituko/ Comedy

Kila mtu na starehe yake…lakini huyu yake ni Air freshner!

on

airWakati watu wakitumia manukato ‘air freshner‘  kwa ajili ya kupulizia nyumba zao ili zinukie lakini kuna wengine hutumia kwa matumizi mengine ambayo kwa kawaida yanaweza kukushangaza hata wewe.

Evelyne mwenye miaka 27 raia wa Missouri, Marekani, amekiri kuwa yeye hupendelea kunywa mvuke wa air freshner na anasema alianza tabia hiyo akiwa na umri wa miaka 20.

Anasema kawaida anaweza kumaliza makopo 20 ya manukato hayo ndani ya siku saba na alivutiwa nayo kwa mara ya kwanza wakati anakunywa juisi na manukato hayo kuingia ndani ya glasi yake.

“Natambua kuwa ina madhara kiafya lakini ninapoitumia hujisikia raha na sioni kama ina tatizo lolote kwangu”- Evelyne

https://www.youtube.com/watch?v=y9IJjGYQz6cEvelyne

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments