Duniani

Kwenye Viwanja vinavyovutia wakati ndege inatua, Africa kipo kimoja kwenye hivi kumi… (Pichaz)

on

air1

Ukisafiri kwa basi kuna vitu vingi unaenjoy kuviona njiani, kama unatoka Dar kwenda Iringa najua kwenye vitakavyokuvutia njiani iko pia mbunga ya Wanyama Mikumi… utaona kingine ni milima, misitu.. vyote vinavutia kwenye safari yako, kwenye ndege ni tofauti, safari ikianza ni ndege na anga, vitu vingine utaviona wakati wa kupaa na kutua kwa ndege.

Sasa kuna hii iliyonifikia, vimetajwa Viwanja vya Ndege ambavyo vina mvuto zaidi na vinaonekana vizuri wakati ndege inapaa na wakati ndege inatua.

air2

Kwenye orodha hiyo upo uwanja wa Queenstown Airport uliyopo New Zealand, uwanja wa McCarran Airport uliopo Las Vegas Marekani na uwanja wa Nice Cote D’Azur Airport uliopo Ufaransa. Africa je? Yes, kipo kimoja mtu wangu.

Hivyo kumi vyote viko hapa mtu wangu, unaweza kushuka huku unacheki kimoja baada ya kingine.

new zealand

1. Queenstown Airport, hapa ni New Zealand.

las vegas

2. Las Vegas McCarran Airport, hapa ni Las Vegas Marekani.

france

3. Nice Cote D’Azur Airport, hapa ni Ufaransa.

Barra Airport, Traigh Mhor Beach, Isle of Barra, Outer Hebrides. PIC: P.TOMKINS / VisitScotland /SCOTTISH VIEWPOINT Tel: +44 (0) 131 622 7174   Fax: +44 (0) 131 622 7175 E-Mail : info@scottishviewpoint.com This photograph can not be used without prior permission from Scottish Viewpoint.

4. Barra Airport, Scotland, Uingereza.. Kingine kinachoongeza mvuto huu Uwanja ni kuwepo Baharini kabisa. ndege zinapaa na kutua bila shida yani.

maarten

5. St. Maarten Airport (Princess Juliana International), huu Uwanja uko Ufukweni pia katika Visiwa vya Caribbean.

air6

6. Saba Airport (Juancho E Yrausquin), Uwanja uko pembeni ya Mlima kwenye Visiwa vya Caribbean Netherlands.

toronto

7. Billy Bishop Toronto City Airport, Uwanja wote umezungukwa na maji mtu wangu, hiyo ni Canada.

british island

8. Gibraltar Airport, huu Uwanja upo Uingereza.

london

9. London City Airport, upo Uingereza.

SA

10. Cape Town Airport, huu ndio Uwanja pekee wa ndege kutoka Africa ulioingia kwenye hii list.. Hapa ni Cape Town South Africa.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments