Top Stories

LIVE AIRPORT: Rais wa Zambia anapokelewa kwa ajili ya SADC

on

Rais wa Zambia, Edgar Lungu awasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, mchana huu, Kiongozi huyo ataungana na wengine katika mkutano wa 39 wa SADC, tazama LIVE muda huu.

RAMAPHOSA “ENEO HILI NI LA KWETU TUMEWAHAZIMA TANZANIA”

Soma na hizi

Tupia Comments