AyoTV

VIDEO: Ndege mpya ya pili ya Air Tanzania ilivyowasili jijini Dar es salaam

on

Baada ya ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuwasili nchini September 20 2016, Leo September 27 2016  ndege yapili ya Bombadier Q400 imewasili Dar es salaam ikitokea Canada baada ya ile ya kwanza ambazo zimenunuliwa na serikali.

Naambiwa kuwa uzinduzi rasmi wa ndege hizo utafanyika kesho jumatano September 28 2016 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Dar es salaam.

ULIKOSA HII NDEGE MPYA YA KWANZA ILIVYOWASILI JIJINI DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments