Mix

Hivi ndivyo Airtel Fursa ilivyomwezesha mvuvi Maryana kuzifikia ndoto zake.. (Video)

on

AIRTEL

Airtel Fursa iko kwenye headlines nyingine July 20 2015 mtu wangu.

Mtandao wa Airtel uko na watu wake kila wakati, Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakaowawezesha kuimarisha biashara zao.

Ninayo video ya Sehemu ya tatu ikikuletea mfululizo wa story za #AirtelFursa, unaweza kuplay hapa kuona ya zaidi kilichomo kwenye hii mtu wangu jinsi ambavyo mvuvi Maryana wa Mwanza kawezeshwa kuzifikia ndoto zake.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments