Mix

Ni fundi wa kuchomelea, sasahivi yuko kwenye ndoto zake tayari… #AirtelFursa (Video)

on

SONY DSC

Godlisten Kimaro.

Mtandao wa Airtel uko na watu wake kila wakati, na kwa sababu kinachofanyika ni kitu kizuri basi na mimi naona kikinifikia nikisogeze na wewe ukipate pia… Airtel Fursa ni mradi wa ambao kazi yake ni kuhakikisha vijana wanajiendeleza kibiashara na ujuzi utakaowawezesha kuimarisha biashara zao.

Golisten Kimaro ni jamaa anayejishughulisha na kazi ya kuchomelea magetti, milango, lakini Airtel Fursa imefanikisha aweze kuzifikia ndoto zake… ni zaidi ya ndoto mtu wangu, kapatiwa elimu ya ujasiriamali pamoja na vifaa vya kisasa Compressor, Generator na Drilling Machine kwa ajili ya kuboresha kazi yake!

Ninayo video ya sehemu nyingine yenye story ya #AirtelFursa, unaweza kuplay hapa kuona ya zaidi kilichomo kwenye hii mtu wangu jinsi ambavyo Golisten Kimaro kawezeshwa.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments