AyoTV

VIDEO: Miss Tanzania Diana kaongea ya Miss World 2016 na alichofanyiwa na Miss Kenya

on

Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.

VIDEO: Alivyopatikana Miss World 2016, ni nchi moja tu ya Afrika iliingia Top 5, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments