Ajali

VIDEO: Basi la abiria lilivyotolewa kwenye eneo la ajali baada ya dereva kudaiwa kusinzia

on

Ni ajali ya pili kutokea kwa Basi la abiria kupata ajali eneo la Kimara ndani ya mwezi March 2016 ambapo ajali kabla ya hii ilihusisha basi la Leina Tours ambako kulitokea vifo vya watu wawili, hii ya Princes Muro ilitokea March 25 usiku.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments