Video Mpya

AudioMPYA: Baada ya kusambaa picha za harusi ya Young Dee katuletea ‘NAOA’

on

Kutokea kwenye game ya Bongofleva rapa Young Dee alizua gumzo mtandaoni baada ya kusambaa picha zikimuonesha kaoa, sasa leo August 13, 2018 mkali huyo ametuletea Audio yake mpya aliyoiita ‘NAOA’ karibu kuusikiliza kwa kubonyeza PLAY hapa chini.

Steve Nyerere baada ya Faiza Ally kuwachana Bongo Movie

Soma na hizi

Tupia Comments