AyoTV

VIDEO: Kwa mwaka mmoja watu 3,936 wamefariki kutokana na ajali Tanzania

on

Bunge la 11 mkutano wa tatu kikao cha thelathini na tisa limeendelea tena bungeni Dodoma leo, katika kipindi cha maswali na majibu Swali la mbunge wa Mtambile Masoud Salim lilikuwa..>>>’Kumekuwa na ajali nyingi zinazosababisha vifo na majeruhi barabarani, baharini na kwenye maziwa

‘Je, ni ajali ngapi zimetokea barabarani, baharini na kwenye maziwa kuanzia January 2015 hadi sasa?

Naibu Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Hamadi Masauni akasimama kuyoa majibu yake…>>> ‘Kwa kipindi cha January 2015 hadi February 2016 jumla ya ajali zilizotokea ni 9,864 zilizosababisha vifo 3,936 na majeruhi 9,868 katika mikoa yote Tanzania bara

ULIIKOSA HII?  WAZIRI NAPE KAITOA HII YA WACHEZAJI KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU MICHEZONI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments