Habari za Mastaa

‘Shemeji wa Taifa?’ Danzak afafanua picha zilizozua utata akiwa na Wema

on

Msanii wa Bongo Fleva Danzak aliyeamua kuacha kazi yake ya urubani na kuja bongo kufanya muziki amezungumza kuhusu picha zilizozua utata mtandaoni zinazomuonesha akiwa na mwigizaji wa bongo Wema Sepetu kitu kilichopelekea yeye kuitwa shemeji wa taifa kwa kuhisiwa kuwa huwenda wawili hao wameanza mahusiano.

Sasa kupitia AyoTV Danzak ametoa ufafanuzi kuhusu picha hizo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: SHAVU LATOLEWA KWA VIJANA WA KITANZANIA KWENDA HOLLYWOOD KUPITIA MASTER TANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments